Unit 20

Somo La Ishirini
Watu wangapi katika familia (ahali/aila) yako?

Original Audio (based on 1988 edition of textbook)

Mazungumzo

1. Listen to the whole dialog

2. Repeat after one speaker

3. Repeat after two speakers

Mazoezi

1. Zoezi la kwanza

2. Zoezi la pili

3. Zoezi la tatu

Supplementary Audio (for 2001 edition of textbook)

Mazungumzo

1a. Listen to the dialog

1b. Repeat after the speakers

Somo 1

Somo 2

Vocabulary

Vocabulary list part 1

Vocabulary list part 2

Vocabulary list part 3

Mazungumzo (1988 version)

The text is included here to aid students using the 2001 edition of the text with the original audio based on the 1988 edition. Copyright Sharifa Zawawi.

Mwalimu: Una ndugu wangapi Juma?
Juma: Nina ndugu watatu.
Mwalimu: Wanaume wangapi na wanawake wangapi?
Juma: Wanawake wawili na mwanamume mmoja.
Mwalimu: Kaka yako ameoa?
Juma: Ndio ameoa, ana mke na watoto wawili.
Mwalimu: Je yeye anafanya kazi gani?
Juma: Yuko Chuo Kikuu cha Dar es salaam anajifunza kuwa Mwanasheria.
Mwalimu: Ndugu zako wa kike wameolewa?
Juma: Mmoja ameolewa na mmoja bado.
Mwalimu: Wao wanafanya nini?
Juma: Mmoja anasoma shule ya chini na mmoja anafanya kazi ya uuguzaji.
Mwalimu: Wazazi wako wanafanya nini?
Juma: Mama hafanyi kazi lakini baba ni mwalimu.