Unit 3

Somo La Tatu
Uhali gani?: How are you?

Original Audio (based on 1988 edition of textbook)

Mazungumzo

1. Listen to the whole dialog

2. Repeat after one speaker

3. Repeat after two speakers

Mazoezi

1. Zoezi la kwanza

2. Zoezi la pili

3. Zoezi la tatu

4. Zoezi la nne

5. Zoezi la tano

6. Zoezi la sita

7. Zoezi la saba

Supplementary Audio (for 2001 edition of textbook)

Mazungumzo

1a. Listen to the dialog

1b. Repeat after the speakers

Vocabulary

Vocabulary list part 1

Vocabulary list part 2

Mazungumzo (1988 version)

The text is included here to aid students using the 2001 edition of the text with the original audio based on the 1988 edition. Copyright Sharifa Zawawi.

Maryamu: U hali gani bwana?
Daudi: Mzima. Je wewe?
Maryamu: Mzima. Habari?
Daudi: Salama. Unasema Kiingereza?
Maryamu: Ndiyo, nasema kidogo. Unatoka wapi?
Daudi: Natoka Amerika.
Maryamu: Wapi Amerika?
Daudi: Natoka New York.
Maryamu: Unakaa hapa Moshi sasa?
Daudi: Ndiyo, Nakaa hoteli ya K.N.C.U.