Unit 6

Somo La Sita
Utaifa "Nationality"

Original Audio (based on 1988 edition of textbook)

Mazungumzo

1. Listen to the whole dialog

2. Repeat after one speaker

3. Repeat after two speakers

Mazoezi

1. Zoezi la kwanza

2. Zoezi la pili

3. Zoezi la tatu

4. Zoezi la nne

5. Zoezi la tano

Supplementary Audio (for 2001 edition of textbook)

Mazungumzo

1a. Listen to the dialog

1b. Repeat after the speakers

Vocabulary

Vocabulary list part 1

Vocabulary list part 2

Mazungumzo (1988 version)

The text is included here to aid students using the 2001 edition of the text with the original audio based on the 1988 edition. Copyright Sharifa Zawawi.

Asha: Shikamoo mzee.
Mzee Juma: Marahaba. Uhali gani bibi?
Asha: Mzima, habari za siku nyingi?
Mzee Juma: Njema tu, alhamdulillah.
Asha: Bwana huyu jina lake nani?
Mzee Juma: Jina lake Bwana Bill Brown.
Asha: Yeye ni mwingereza?
Mzee Juma: Hapana, yeye si mwingereza. Ni Mwamereka.
Asha: Anatoka wapi Amerika?
Mzee Juma: Anatoka California. Sasa anafanya kazi hapa Marangu.
Asha: Anafanya kazi gani?
Mzee Juma: Anafundisha chuo cha Ualimu.
Asha: Anafundisha nini?
Mzee Juma: Anafundisha Sanaa na Kiingereza.
Asha: Kwa heri mzee. Nakwenda shule.
Mzee Juma: Kwa heri ya kuonana mwanangu. Nenda salama.