Unit 21

Somo La Ishirini Na Moja
Una miaka mingapi?: How old are you?

Original Audio (based on 1988 edition of textbook)

Mazungumzo

1. Listen to the whole dialog

2. Repeat after one speaker

3. Repeat after two speakers

Mazoezi

1. Zoezi la kwanza

2. Zoezi la pili

3. Zoezi la tatu

4. Zoezi la nne

Supplementary Audio (for 2001 edition of textbook)

Mazungumzo

1a. Listen to the dialog

1b. Repeat after the speakers

Somo

Vocabulary

(no vocabulary audio for this chapter)

Mazungumzo (1988 version)

The text is included here to aid students using the 2001 edition of the text with the original audio based on the 1988 edition. Copyright Sharifa Zawawi.

Mwalimu: Je, Juma ulizaliwa lini na una miaka mingapi?
Juma: Nilizaliwa mwezi wa Juni, mwaka 1948.
Mwalimu: Ulianza shule ya chini mwaka gani?
Juma: Nilianza shule ya chini mwaka 1954.
Mwalimu: Ulikwenda shule ya chini kwa miaka mingapi?
Juma: Nilikwenda shule ya chini kwa muda wa miaka sita.
Mwalimu: Ulianza kujifunza Kiswahili lini? Mwaka huu?
Juma: Nilianza kujifunza Kiswahili mwaka uliopita katika mwezi wa Septemba.