Photos: Page 4

Subira ina malipo. Paitence has its reward.

Subira ina malipo
Patience has its reward
 
 

Sijasema mwanisema jee nikisema I have said nothing and you gossip about me. What will happen when I do?    add

Sijasema mwanisema jee nikisema
I have said nothing and you gossip about me. What will happen when I do?
 
 

Nakupenda hupendeki I love you but you are not lovable

Nakupenda hupendeki
I love you but you are not lovable
 
 

Nampenda mpenzi wangu mtasema mtachoka hattoki I love my beloved. You will talk until you get tired. He/she will not leave me Lo mwenzangu

Nampenda mpenzi wangu mtasema mtachoka hattoki
I love my beloved. You will talk until you get tired. He/she will not leave me Lo mwenzangu
Language: 
Swahili