Maryamu: Hujambo Daudi?
Daudi: Sijambo. Habari za siku nyingi?
Maryamu: Njema. Unajifunza wapi sasa?
Daudi: Najifunza chuo kikuu cha Dar es salaam. Je wewe unajifunza wapi?
Maryamu: Najifunza chuo kikuu cha Nairobi.
Daudi: Unajifunza nini?
Maryamu: Najifunza Historia, Uchumi na Kiingereza. Je wewe unajifunza nini?
Daudi: Najifunza Sanaa, Kiswahili na Kifaransa.