Unit 2

Somo La Pili
Jijulishe: Introduce yourself

Original Audio (based on 1988 edition of textbook)

Mazungumzo

1. Listen to the whole dialog

2. Repeat after one speaker

3. Repeat after two speakers

Mazoezi

1. Zoezi la kwanza

2. Zoezi la pili

3. Zoezi la tatu

4. Zoezi la nne

5. Zoezi la tano

6. Zoezi la sita

Supplementary Audio (for 2001 edition of textbook)

Mazungumzo

1a. Listen to version 1 of the dialog

1b. Repeat after the speakers

2a. Listen to version 2 of the dialog

2b. Repeat after the speakers

Vocabulary

Vocabulary list

Mazungumzo (1988 version)

The text is included here to aid students using the 2001 edition of the text with the original audio based on the 1988 edition. Copyright Sharifa Zawawi.

Ali: Hujambo bibi?
Maryamu: Sijambo bwana.
Ali: Jina langu Ali. Jina lako nani?
Maryamu: Jina langu Maryamu.
Ali: Habari za kutwa Bi Maryamu?
Maryamu: Nzuri, je na wewe bwana?
Ali: Aa salama. Bibi huyo jina lake nani?
Maryamu: Jina lake Bi Halima.
Ali: Je bwana huyo jina lake Juma?
Maryamu: Ndiyo, jina lake Juma.