Swahili: LangMedia Materials and Resources for Less-Commonly Taught Languages

Unit 24. Somo La Ishirini Na Nne
Iko wapi ? Where is ?
(1988 edition: Nyumba yako iko wapi?: "Where is your house?"    previous | next

Original Audio (based on 1988 edition of textbook)

Mazungumzo
(see text at bottom of page)
MP3
Streams

(may not work with Netscape)
RealAudio
Streams
Download MP3s
Windows: Right-click on the link, choose "Open" to play, or "Save Target As" to download
Mac: To download hold down the "Option" key while clicking on the link
1. Listen to the whole dialog MP3 RealAudio Download MP3
2. Repeat after one speaker MP3 RealAudio Download MP3
3. Repeat after two speakers MP3 RealAudio Download MP3
Mazoezi
1. Zoezi la kwanza MP3 RealAudio Download MP3
2. Zoezi la pili MP3 RealAudio Download MP3
3. Zoezi la tatu MP3 RealAudio Download MP3
4a. Zoezi la nne a MP3 RealAudio Download MP3
4b. Zoezi la nne b MP3 RealAudio Download MP3
4c. Zoezi la nne c MP3 RealAudio Download MP3
5. Zoezi la tano MP3 RealAudio Download MP3
6. Zoezi la sita MP3 RealAudio Download MP3
7. Zoezi la saba MP3 RealAudio Download MP3

Supplementary Audio (for 2001 edition of textbook)

Mazungumzo
1a. Listen to the dialog MP3 RealAudio Download MP3
1b. Repeat after the speakers MP3 RealAudio Download MP3
Vocabulary
Vocabulary list part 1 MP3 RealAudio Download MP3
Vocabulary list part 2 MP3 RealAudio Download MP3

Mazungumzo (1988 version)
The text is included here to aid students using the 2001 edition of the text with the original audio based on the 1988 edition. Copyright Sharifa Zawawi.

Asha: Je bwana unaishi hapa mjini Arusha?
Daudi: Ndiyo, nimeishi hapa sasa miezi minane.
Asha: Nyumba yako iko wapi?
Daudi: Iko hukoo.
Asha: Iko karibu au mbali na hapa?
Daudi: Iko si mbali sana na hapa. Mwendo wa dakika ishirini na tano hivi.
Asha: Iko upande gani wa hapa?
Daudi: Utaondoka hapa utakwenda moja kwa moja ufike Kaloleni, halafu utapinda
mkono wa kulia. Utakwenda kama hatua thelathini hivi. Utakuta duka la muhundi.
Zunguka hilo duka na mara utafika mahala pana nyumba za ghorofa tatu. Nyumba
yangu ni nyumba ya tatu kutoka hapo. Huwezi kupotea.