Swahili: LangMedia Materials and Resources for Less-Commonly Taught Languages

Unit 23. Somo La Ishirini Na Tatu
Twende tukatembee: Let's go for a walk.
(1988 edition: Unataka nifanye nini? "What do you want me to do?" )    previous | next

Original Audio (based on 1988 edition of textbook)

Mazungumzo
(see text at bottom of page)
MP3
Streams

(may not work with Netscape)
RealAudio
Streams
Download MP3s
Windows: Right-click on the link, choose "Open" to play, or "Save Target As" to download
Mac: To download hold down the "Option" key while clicking on the link
1. Listen to the whole dialog MP3 RealAudio Download MP3
2. Repeat after one speaker MP3 RealAudio Download MP3
3. Repeat after two speakers MP3 RealAudio Download MP3
Mazoezi
1. Zoezi la kwanza MP3 RealAudio Download MP3
2. Zoezi la pili MP3 RealAudio Download MP3
3. Zoezi la tatu MP3 RealAudio Download MP3
4. Zoezi la nne MP3 RealAudio Download MP3
5. Zoezi la tano MP3 RealAudio Download MP3
6. Zoezi la sita MP3 RealAudio Download MP3

Supplementary Audio (for 2001 edition of textbook)

Mazungumzo
1a. Listen to the dialog MP3 RealAudio Download MP3
1b. Repeat after the speakers MP3 RealAudio Download MP3
Somo MP3 RealAudio Download MP3
Vocabulary
Vocabulary list part 1 MP3 RealAudio Download MP3
Vocabulary list part 2 MP3 RealAudio Download MP3

Mazungumzo (1988 version)
The text is included here to aid students using the 2001 edition of the text with the original audio based on the 1988 edition. Copyright Sharifa Zawawi.

Daudi: Twende tukatembee Mosi.
Mosi: Vyema. Unataka twende mahali gani?
Daudi: Twende mjini tukatazame Jumba la Taifa na tupite madukani.
Mosi: Tuondoke sasa? U tayari?
Daudi: Tusiondoke sasa. Nina kazi kidogo kumaliza, lakini haidhuru itangoja. Twende.
Mosi: Mwulize yule askari njia ya karibu ya kwenda mjini ni ipi?
Daudi: Nimwambie kuwa sisi ni wageni hapa?
Mosi: La, usimwambie. Usichelewe saa zinakwenda.
Daudi: Bwana askari anasema kuwa ni mbali na hapa. Itatubidi tupande gari.
Mosi: Utapenda tupande basi, au tuchukue teksi?
Daudi: Bora tusipande basi, tuchukue teksi tutafika upesi.